naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 27

Tumia 'ndani ya' au 'nje ya' a) Kikombe kimo ___ kabati.

From Kiswahili — Year 2025 Assessment (Set 10B) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viunganishi vya Mahali

7. Tumia 'ndani ya' au 'nje ya'
a) Kikombe kimo ________ kabati.

Answer

ndani ya

"Kimo" maana yake kiko ndani: ndani ya kabati.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test