CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 8
Kuku anatunzwa vipi?
From Kiswahili — Year 2025 Assessment (Set 10B) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
NDEGE NIMPENDAYE
Ndege nimpendaye ni kuku. Kuku huyu ana manufaa mengi. Ndege huyu hutupa mayai na nyama ambazo hujenga miili yetu. Kuku hutunzwa kwa kumpa nafaka na maji safi.
3. Kuku anatunzwa vipi?
Answer
kwa kumpa nafaka na maji safi
Kuku hutunzwa kwa kumpa nafaka na maji safi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Ndege yupi mwingine hufugwa nyumbani?Question 9
- Taja nafaka unazozijua.Question 10
- SEHEMU D: SARUFI 1. Tumia '-ake' au '-ao' kujaza pengo. a) Kitabu ___Question 11
- b) Watoto ___Question 12
- Andika tarakimu zifuatazo kwa maneno. a) 62-Question 13
- Tunga sentensi ukitumia maneno yafuatayo. a) NunuaQuestion 17