CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 9
Ndege yupi mwingine hufugwa nyumbani?
From Kiswahili — Year 2025 Assessment (Set 10B) · 1 mark · Topic: Kusoma, Msamiati
NDEGE NIMPENDAYE
Ndege nimpendaye ni kuku. Kuku huyu ana manufaa mengi. Ndege huyu hutupa mayai na nyama ambazo hujenga miili yetu. Kuku hutunzwa kwa kumpa nafaka na maji safi.
4. Ndege yupi mwingine hufugwa nyumbani?
Answer
bata
Ndege wengine wa nyumbani ni bata, njiwa na bata mzinga.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- Taja nafaka unazozijua.Question 10
- SEHEMU D: SARUFI 1. Tumia '-ake' au '-ao' kujaza pengo. a) Kitabu ___Question 11
- b) Watoto ___Question 12
- Andika tarakimu zifuatazo kwa maneno. a) 62-Question 13
- Tunga sentensi ukitumia maneno yafuatayo. a) NunuaQuestion 17
- Tumia polepole na haraka kujaza pengo. a) Mzee kobe hutembea ___Question 20