naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 10

Taja nafaka unazozijua.

From Kiswahili — Year 2025 Assessment (Set 10B) · 1 mark · Topic: Kusoma, Msamiati

NDEGE NIMPENDAYE

Ndege nimpendaye ni kuku. Kuku huyu ana manufaa mengi. Ndege huyu hutupa mayai na nyama ambazo hujenga miili yetu. Kuku hutunzwa kwa kumpa nafaka na maji safi.

5. Taja nafaka unazozijua.

Answer

mahindi, mtama

Nafaka ni mahindi, mtama, ngano, mchele na wimbi.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test