CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 7
Taja faida za ndege huyu.
From Kiswahili — Year 2025 Assessment (Set 10B) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
NDEGE NIMPENDAYE
Ndege nimpendaye ni kuku. Kuku huyu ana manufaa mengi. Ndege huyu hutupa mayai na nyama ambazo hujenga miili yetu. Kuku hutunzwa kwa kumpa nafaka na maji safi.
2. Taja faida za ndege huyu.
Answer
hutupa mayai na nyama
Kuku hutupa mayai na nyama.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.