naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Exam Term 2 2025 · Question 5

SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.

From Kiswahili — Year 2025 Assessment (Set 10B) · 20 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti

Shule yetu ina bustani ndogo. Katika bustani hii kuna miti mingi. Sisi hupenda kufanya kazi katika bustani yetu. Wanafunzi wa madarasa ya juu hupanda miti katika bustani ya shule. Baada ya kupanda hunyunyizia maji ili isikauke. Sisi huwasaidia kubeba miche nao wakichimba mashimo ya kupanda. Hivi ndivyo tunavyodumisha mazingira shuleni.

SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI
Soma kifungu hiki kwa sauti.

Answer

Shule yetu ina bustani ndogo. Katika bustani hii kuna miti mingi. Sisi hupenda kufanya kazi katika bustani yetu. Wanafunzi wa madarasa ya juu hupanda miti katika bustani ya shule. Baada ya kupanda hunyunyizia maji ili isikauke. Sisi huwasaidia kubeba miche nao wakichimba mashimo ya kupanda. Hivi ndivyo tunavyodumisha mazingira shuleni.

Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test