CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 1 (2026)
Kiswahili — Revision 1 (2026) · Revision 1 (2026) · 32 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 32 questions with answers
- Question 1: ZOEZI LA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA a) Taja vyombo vya usafiri.Answer: Gari na pikipiki.
- Question 2: b) Chombo gani cha usafiri ambacho huenda kwa haraka?Answer: Ndege.
- Question 3: c) Anayeendesha meli huitwa?Answer: Nahodha.
- Question 4: d) Wanaosafiri huitwa?Answer: Abiria.
- Question 5: e) Eleza jinsi ya kuvuka barabara.Answer: Ninaangalia kulia, kushoto, kisha kulia tena, halafu navuka nikitembea.
- Question 6: SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.Answer: Nchi yetu ya Kenya ina mbuga za wanyama. Mbuga hizi zinapatikana katika sehemu mbalimbali za Kenya. Mojawapo…
- Question 7: SEHEMU C: UFAHAMU 1. Ni nani alifanya harusi?Answer: rafiki wa baba yangu
- Question 8: Watu wa kijiji walifikaje harusini?Answer: kwa miguu
- Question 9: Watu wengine walifikaje harusini?Answer: kwa baiskeli na pikipiki
- Question 10: Bwana harusi alikuwa anafanya kazi gani?Answer: ualimu
- Question 11: Bwana na bibi harusi walipata ___ nyingi sana.Answer: zawadi
- Question 12: SEHEMU YA D: SARUFI 1. Jibu salamu a) HujamboAnswer: Sijambo
- Question 13: b) U hali gani?Answer: Niko salama.
- Question 14: Andika nambari hizi kwa maneno. a) 42Answer: arobaini na mbili
- Question 15: b) 50Answer: hamsini
- Question 16: Tumia 'p' au 'v' kukamilisha maneno. a) ___asukaAnswer: A. p
- Question 17: b) ma___aziAnswer: B. v
- Question 18: Andika kwa wingi a) Mwalimu anafundisha vizuri.Answer: Walimu wanafundisha vizuri.
- Question 19: b) Kiatu hiki kimechafuka.Answer: Viatu hivi vimechafuka.
- Question 20: Chora picha ifuatayo MezaAnswer: Meza yenye miguu minne.
- Question 21: Andika kwa herufi kubwa. a) protiniAnswer: PROTINI
- Question 22: b) mhogoAnswer: MHOGO
- Question 23: Tumia huyu au hao a) Madaktari ___ ni wazuri.Answer: B. hao
- Question 24: b) Dereva ___ aliosha gari lake.Answer: A. huyu
- Question 25: Tumia ako au enu. a) Msichana ___ ni safi.Answer: A. ako
- Question 26: b) Vitabu ___ vimeraruka.Answer: B. enu
- Question 27: IMLA a)Answer: mbuga
- Question 28: b)Answer: wanyama
- Question 29: c)Answer: harusi
- Question 30: d)Answer: zawadi
- Question 31: e)Answer: pikipiki
- Question 32: ZOEZI 5: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu: MNYAMA NIMPENDAYEAnswer: Mnyama nimpendaye ni mbwa. Mbwa wangu anaitwa Simba. Ana rangi nyeupe na nyeusi. Hulinda nyumba yetu usiku.…