CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 8
Watu wa kijiji walifikaje harusini?
From Kiswahili — Revision 1 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma hadithi kisha ujibu maswali yafuatayo.
Rafiki wa baba yangu ni mwalimu. Alipokuwa na harusi, watu wengi walifika kwa harusi yake. Watu wa kijiji walitembea kwa miguu hadi eneo la harusi. Wengine walitumia baiskeli na pikipiki. Bwana na bibi harusi walipata zawadi nyingi sana. Watu walifurahia na kushangilia.
2. Watu wa kijiji walifikaje harusini?
Answer
kwa miguu
Watu wa kijiji walitembea kwa miguu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.