naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 10

Bwana harusi alikuwa anafanya kazi gani?

From Kiswahili — Revision 1 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma hadithi kisha ujibu maswali yafuatayo.

Rafiki wa baba yangu ni mwalimu. Alipokuwa na harusi, watu wengi walifika kwa harusi yake. Watu wa kijiji walitembea kwa miguu hadi eneo la harusi. Wengine walitumia baiskeli na pikipiki. Bwana na bibi harusi walipata zawadi nyingi sana. Watu walifurahia na kushangilia.

4. Bwana harusi alikuwa anafanya kazi gani?

Answer

ualimu

Bwana harusi ni rafiki wa baba, naye ni mwalimu.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test