CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 9
Watu wengine walifikaje harusini?
From Kiswahili — Revision 1 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma hadithi kisha ujibu maswali yafuatayo.
Rafiki wa baba yangu ni mwalimu. Alipokuwa na harusi, watu wengi walifika kwa harusi yake. Watu wa kijiji walitembea kwa miguu hadi eneo la harusi. Wengine walitumia baiskeli na pikipiki. Bwana na bibi harusi walipata zawadi nyingi sana. Watu walifurahia na kushangilia.
3. Watu wengine walifikaje harusini?
Answer
kwa baiskeli na pikipiki
Wengine walitumia baiskeli na pikipiki.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.