CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 6
SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.
From Kiswahili — Revision 1 (2026) · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Nchi yetu ya Kenya ina mbuga za wanyama. Mbuga hizi zinapatikana katika sehemu mbalimbali za Kenya. Mojawapo ya mbuga hizi ni Amboseli, imegawanywa na barabara kuu ya kwenda Naivasha katika sehemu mbili. Kila sehemu iko chini ya uangalizi wa kulinda wanyama. Kazi yake ni kuwalinda vyema.
SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI
Soma kifungu hiki kwa sauti.
Answer
Nchi yetu ya Kenya ina mbuga za wanyama. Mbuga hizi zinapatikana katika sehemu mbalimbali za Kenya. Mojawapo ya mbuga hizi ni Amboseli, imegawanywa na barabara kuu ya kwenda Naivasha katika sehemu mbili. Kila sehemu iko chini ya uangalizi wa kulinda wanyama. Kazi yake ni kuwalinda vyema.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU C: UFAHAMU 1. Ni nani alifanya harusi?Question 7
- Watu wa kijiji walifikaje harusini?Question 8
- Watu wengine walifikaje harusini?Question 9
- Bwana harusi alikuwa anafanya kazi gani?Question 10
- Bwana na bibi harusi walipata ___ nyingi sana.Question 11
- SEHEMU YA D: SARUFI 1. Jibu salamu a) HujamboQuestion 12