CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 5
e) Eleza jinsi ya kuvuka barabara.
From Kiswahili — Revision 1 (2026) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Usalama Barabarani
Leo ningependa tuzungumze. Nitakuuliza maswali kisha ujibu kwa Kiswahili. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa sauti.
e) Eleza jinsi ya kuvuka barabara.
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Ninaangalia kulia, kushoto, kisha kulia tena, halafu navuka nikitembea.
Simama, angalia kulia na kushoto, kisha vuka ukitembea.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.Question 6
- SEHEMU C: UFAHAMU 1. Ni nani alifanya harusi?Question 7
- Watu wa kijiji walifikaje harusini?Question 8
- Watu wengine walifikaje harusini?Question 9
- Bwana harusi alikuwa anafanya kazi gani?Question 10
- Bwana na bibi harusi walipata ___ nyingi sana.Question 11