CBC Grade 3 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 2
b) Chombo gani cha usafiri ambacho huenda kwa haraka?
From Kiswahili — Revision 1 (2026) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Usafiri
Leo ningependa tuzungumze. Nitakuuliza maswali kisha ujibu kwa Kiswahili. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa sauti.
b) Chombo gani cha usafiri ambacho huenda kwa haraka?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Ndege.
Ndege huenda kwa haraka kuliko vyombo vingine.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.