CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026
Kiswahili — Term 2 Mid-Term Assessment 2026 · Term 2 Mid-Term Assessment 2026 · 32 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 32 questions with answers
- Question 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA a) Ukitaka kuingia darasani ni vizuri kubisha vipi? (Kong' kong', Hodi)Answer: Hodi
- Question 2: b) Ukitaka kitu kutoka kwa mwenzako utamwambia vipi? (Nataka, Naomba)Answer: Naomba
- Question 3: c) Ni neno lipi utatumia kwa mtu aliyebisha? (Karibu, Toka)Answer: Karibu
- Question 4: d) Ni bora kusema ___ baada ya kupokea kitu kutoka kwa mtu. (Nashukuru, sitaki)Answer: Nashukuru
- Question 5: e) Unapokosea mtu utatumia neno lipi la heshima? (Nisamehe, Kwaheri)Answer: Nisamehe
- Question 6: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti:Answer: Hapo zamani za kale paliishi Bi Kizee. Alikuwa na mtoto mvulana aliyeitwa Kata. Kata alikuwa kiziwi na bubu.…
- Question 7: UFAHAMU a) Mbuzi ni mnyama wa ___Answer: B. nyumbani
- Question 8: b) Ana ___ mbili fupi.Answer: B. pembe
- Question 9: c) Mbuzi wa ___ hutoa maziwa matamu.Answer: B. kike
- Question 10: d) Mbuzi ana ___ na ___ mawili.Answer: macho na masikio
- Question 11: UFAHAMU WA PILI a) Simu ya mkono inaitwa ___Answer: A. rununu
- Question 12: b) Imesaidia watu kuwasiliana kwa ___Answer: B. haraka
- Question 13: c) Rununu inatumia ___Answer: B. nguvu za umeme
- Question 14: d) Taja matumizi mawili ya rununu:Answer: kutuma ujumbe, kupiga picha
- Question 15: SARUFI Andika maneno yafuatayo kwa wingi: a) Mtoto wanguAnswer: Watoto wangu
- Question 16: b) Nguo yanguAnswer: Nguo zangu
- Question 17: ANDIKA VIZURI MANENO a) yafaAnswer: afya
- Question 18: b) vunguAnswer: nguvu
- Question 19: HERUFI NDOGO Andika sentensi hizi kwa herufi ndogo: a) CHAKULA HIKI NI CHA WANGA.Answer: chakula hiki ni cha wanga.
- Question 20: b) MPIRA WANGU ULIPOTEA.Answer: mpira wangu ulipotea.
- Question 21: MAJINA YA VITU Andika majina ya vitu vifuatavyo. a)Answer: mlango
- Question 22: b)Answer: kochi
- Question 23: c)Answer: kofia
- Question 24: MATUMIZI YA MANENO (Huyo / Hao) Jaza nafasi: a) ___ anakula chapati.Answer: A. Huyo
- Question 25: b) ___ wanakunywa maziwa.Answer: B. Hao
- Question 26: c) ___ wanapika ugali.Answer: B. Hao
- Question 27: SAUTI ZA MANENO Kwenye kapu, tafuta maneno yenye sauti p, v na f na uyaandike.Answer: viazi, veli, papai, pipa, fua, fulana
- Question 28: KUANDIKA Andika sentensi utakazosomewa na mwalimu. Sentensi ya 1Answer: Mama anapika chakula.
- Question 29: Sentensi ya 2Answer: Baba ana gari jipya.
- Question 30: Sentensi ya 3Answer: Ninapenda shule yangu.
- Question 31: Sentensi ya 4Answer: Paka anakunywa maziwa.
- Question 32: Sentensi ya 5Answer: Watoto wanacheza mpira.