CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 1
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA a) Ukitaka kuingia darasani ni vizuri kubisha vipi? (Kong' kong', Hodi)
From Kiswahili — Term 2 Mid-Term Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Maneno ya Adabu na Heshima
Mwalimu atakuuliza maswali kwa Kiswahili nawe utayajibu kwa Kiswahili. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuongea.
1. KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
a) Ukitaka kuingia darasani ni vizuri kubisha vipi?
(Kong' kong', Hodi)
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Hodi
Kabla ya kuingia tunasema "Hodi".
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- b) Ukitaka kitu kutoka kwa mwenzako utamwambia vipi? (Nataka, Naomba)Question 2
- c) Ni neno lipi utatumia kwa mtu aliyebisha? (Karibu, Toka)Question 3
- d) Ni bora kusema ___ baada ya kupokea kitu kutoka kwa mtu. (Nashukuru, sitaki)Question 4
- e) Unapokosea mtu utatumia neno lipi la heshima? (Nisamehe, Kwaheri)Question 5
- KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti:Question 6
- UFAHAMU a) Mbuzi ni mnyama wa ___Question 7