CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 7
UFAHAMU a) Mbuzi ni mnyama wa ___
From Kiswahili — Term 2 Mid-Term Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali:
Mbuzi ni mnyama wa nyumbani. Ana pembe mbili fupi. Ana macho mawili na masikio mawili. Ana miguu minne. Mbuzi wa kike hutoa maziwa matamu. Watu wengi hupenda nyama ya mbuzi.

3. UFAHAMU
a) Mbuzi ni mnyama wa ____
- Aporini
- Bnyumbani
Answer
B. nyumbani
Kifungu kinasema: Mbuzi ni mnyama wa nyumbani.