CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 11
UFAHAMU WA PILI a) Simu ya mkono inaitwa ___
From Kiswahili — Term 2 Mid-Term Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kifungu hiki:
Hii ni simu ya mkono inayoitwa rununu. Inasaidia watu kuwasiliana haraka. Inatumia nguvu za umeme. Tunaweza kutuma ujumbe na kupiga picha.

4. UFAHAMU WA PILI
a) Simu ya mkono inaitwa ____
- Arununu
- Bfoni
Answer
A. rununu
Simu ya mkono inaitwa rununu.