CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 6
KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti:
From Kiswahili — Term 2 Mid-Term Assessment 2026 · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Hapo zamani za kale paliishi Bi Kizee. Alikuwa na mtoto mvulana aliyeitwa Kata. Kata alikuwa kiziwi na bubu. Hakuweza kuongea wala kusikia. Wanakijiji walimpenda sana. Bi Kizee alimpeleka shule ya viziwi. Kata alikuwa mwerevu na alijifunza lugha ya ishara haraka. Aliwafunza wanakijiji lugha hiyo.
2. KUSOMA KWA SAUTI
Soma hadithi hii kwa sauti:
Answer
Hapo zamani za kale paliishi Bi Kizee. Alikuwa na mtoto mvulana aliyeitwa Kata. Kata alikuwa kiziwi na bubu. Hakuweza kuongea wala kusikia. Wanakijiji walimpenda sana. Bi Kizee alimpeleka shule ya viziwi. Kata alikuwa mwerevu na alijifunza lugha ya ishara haraka. Aliwafunza wanakijiji lugha hiyo.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone. Tamka vizuri maneno kama kiziwi, mwerevu na ishara.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.