CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 4
d) Ni bora kusema ___ baada ya kupokea kitu kutoka kwa mtu. (Nashukuru, sitaki)
From Kiswahili — Term 2 Mid-Term Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Maneno ya Adabu na Heshima
Mwalimu atakuuliza maswali kwa Kiswahili nawe utayajibu kwa Kiswahili. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuongea.
d) Ni bora kusema ____ baada ya kupokea kitu kutoka kwa mtu.
(Nashukuru, sitaki)
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Nashukuru
Tukipewa kitu tunasema "Nashukuru" (asante).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.