CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 26
c) ___ wanapika ugali.
From Kiswahili — Term 2 Mid-Term Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Matumizi ya Huyo na Hao
c) ____ wanapika ugali.
- AHuyo
- BHao
Answer
B. Hao
"wanapika" ni kwa watu wengi: Hao wanapika ugali.