CBC Grade 2 Kiswahili Exam Term 1 2025: Term 1 Assessment 2025 (Set 4)
Kiswahili — Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 30 questions with answers
- Question 1: SEHEMU A: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Bendera ya nchi yetu ina rangi ngapi?Answer: Ina rangi nne.
- Question 2: Taja rangi moja inayopatikana kwenye bendera yetu.Answer: Nyekundu.
- Question 3: Taja siku ambazo bendera hupandishwa juu.Answer: Jumatatu.
- Question 4: Bendera inapopandishwa watu wanaimba wimbo upi?Answer: Wimbo wa taifa.
- Question 5: Taja majina ya raisi wa nchi ya Kenya.Answer: William Ruto.
- Question 6: SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi ifuatayo kwa sauti.Answer: Leo ni siku ya Jumapili. Tunajitayarisha kwenda kanisani na watu wa familia yangu. Nimevaa mavazi ya rangi…
- Question 7: Maswali 1. Paka anapenda nini?Answer: usafi
- Question 8: Uchafu hufanya tumbo lifanye nini?Answer: lisokote
- Question 9: Paka hufanya nini akitaka kwenda haja?Answer: huchimba shimo
- Question 10: Paka hufanyia nini kucha zake?Answer: huzisafisha vizuri
- Question 11: Paka hapendi nini?Answer: uchafu
- Question 12: Andika jibu sahihi. a) Ni vizuri ___ kila siku. (kuoga, kucheza)Answer: A. kuoga
- Question 13: b) ___ hutuzuia kupata magonjwa. (Usafi, Uchafu)Answer: A. Usafi
- Question 14: c) Watu hupangusa kamasi kwa ___. (taula, hanchifu)Answer: B. hanchifu
- Question 15: Pengo la 4Answer: A. mwili
- Question 16: Pengo la 5Answer: B. kuoga
- Question 17: Pengo la 6Answer: C. mswaki
- Question 18: Pengo la 7Answer: D. kukatwa
- Question 19: Jaza nafasi kuunda maneno ya heshima. a) P _ l _Answer: Pole
- Question 20: b) _ s _ nt _Answer: Asante
- Question 21: c) S _ m _ h _ n _Answer: Samahani
- Question 22: d) T _ f _ dh _ l _Answer: Tafadhali
- Question 23: Jaza mapengo kwa kuchagua jibu sahihi. a) Salam aleikum ___ (aleikum salaam, vizuri).Answer: A. aleikum salaam
- Question 24: b) Habari za mchana? ___ (nzuri, marahaba).Answer: A. nzuri
- Question 25: Kanusha vitendo hivi. a) KetiAnswer: Usiketi
- Question 26: b) LiaAnswer: Usilie
- Question 27: c) InukaAnswer: Usiinuke
- Question 28: Andika maneno haya kwa herufi kubwa au ndogo. a) mwalimuAnswer: MWALIMU
- Question 29: b) DAKTARIAnswer: daktari
- Question 30: SEHEMU E: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu: UMUHIMU WA MAJIAnswer: Maji ni muhimu sana. Tunakunywa maji kila siku. Tunatumia maji kupika chakula. Tunaoga kwa maji. Mimea…