CBC Grade 2 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 15
Pengo la 4
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Chagua jibu sahihi kujaza mapengo.
[Mwili Kuoga mswaki Kukatwa]
Kila mtu anafaa kufanya usafi wa ____4____. Kila asubuhi ni vizuri ____5____. Kupiga ____6____ huua wadudu kwenye meno. Kucha pia zinafaa ____7____ ili zibaki fupi kila wakati.
Pengo la 4
- Amwili
- Bkuoga
- Cmswaki
- Dkukatwa
Answer
A. mwili
Kila mtu anafaa kufanya usafi wa mwili.