CBC Grade 2 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 5
Taja majina ya raisi wa nchi ya Kenya.
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusikiliza na Kujibu
Mwalimu atakuuliza swali. Sikiliza, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuongea.
5. Taja majina ya raisi wa nchi ya Kenya.
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
William Ruto.
Rais wa Kenya wa sasa ni William Ruto. Marais wa zamani ni Jomo Kenyatta, Daniel Moi, Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.