CBC Grade 2 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 10
Paka hufanyia nini kucha zake?
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma ufahamu ufuatao kisha ujibu maswali.
Mimi ninaitwa paka. Mimi paka sipendi uchafu. Uchafu hufanya tumbo lisokote. Mimi hujifuta mikono kila mara. Sirambi kucha zangu ovyoovyo. Huwa nasafisha kucha zangu vizuri. Ninapenda usafi. Ninapotaka kujisaidia ninachimba shimo. Nikimaliza kujisaidia ninalifunika. Nina kazi nyingine muhimu sana kwa binadamu. Mimi hufukuza panya nyumbani. Panya huharibu nguo za binadamu na mahindi waliyovuna. Binadamu hunipatia maziwa kwa kazi yangu nzuri. Mimi hufurahia kazi hiyo.
4. Paka hufanyia nini kucha zake?
Answer
huzisafisha vizuri
Paka anasema: "Huwa nasafisha kucha zangu vizuri."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Paka hapendi nini?Question 11
- Andika jibu sahihi. a) Ni vizuri ___ kila siku. (kuoga, kucheza)Question 12
- b) ___ hutuzuia kupata magonjwa. (Usafi, Uchafu)Question 13
- c) Watu hupangusa kamasi kwa ___. (taula, hanchifu)Question 14
- Jaza nafasi kuunda maneno ya heshima. a) P _ l _Question 19
- b) _ s _ nt _Question 20