CBC Grade 2 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 4
Bendera inapopandishwa watu wanaimba wimbo upi?
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusikiliza na Kujibu
Mwalimu atakuuliza swali. Sikiliza, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuongea.
4. Bendera inapopandishwa watu wanaimba wimbo upi?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Wimbo wa taifa.
Bendera inapopandishwa, watu husimama wima na kuimba wimbo wa taifa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.