CBC Grade 2 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 1
SEHEMU A: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Bendera ya nchi yetu ina rangi ngapi?
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2025 (Set 4) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusikiliza na Kujibu
Mwalimu atakuuliza swali. Sikiliza, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuongea.
SEHEMU A: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
1. Bendera ya nchi yetu ina rangi ngapi?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Ina rangi nne.
Bendera ya Kenya ina rangi nne: nyeusi, nyekundu, kijani na nyeupe.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Taja rangi moja inayopatikana kwenye bendera yetu.Question 2
- Taja siku ambazo bendera hupandishwa juu.Question 3
- Bendera inapopandishwa watu wanaimba wimbo upi?Question 4
- Taja majina ya raisi wa nchi ya Kenya.Question 5
- SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi ifuatayo kwa sauti.Question 6
- Maswali 1. Paka anapenda nini?Question 7