CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025: Midterm Assessment 2025 (Set 2)
Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 2) · Midterm Assessment 2025 (Set 2) · 29 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 29 questions with answers
- Question 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Hapa ni ___Answer: Hapa ni darasani.
- Question 2: Mbele ya darasa kuna ___ ambayo mwalimu hutumia kuandika.Answer: Ubao.
- Question 3: Wanafunzi huketi kwenye ___ wakiwa darasani.Answer: Madawati.
- Question 4: Ni siku ya Jumatatu asubuhi, unadhani wanafunzi wameenda wapi?Answer: Wameenda kwenye gwaride.
- Question 5: Wanafunzi watakaporudi darasani, wataandika kwenye ___ zao.Answer: Daftari.
- Question 6: KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.Answer: Jina langu ni Maua. Ninasomea shule ya msingi ya Manyata. Niko katika gredi ya pili. Mwalimu wetu anaitwa…
- Question 7: Punda hufanya kazi gani?Answer: Hubeba maji na mizigo.
- Question 8: ___ na ___ hunywa maji.Answer: Kondoo na mbuzi
- Question 9: Ukimkasirisha punda atakufanyia nini?Answer: Atakupiga teke.
- Question 10: Kwa nini ni muhimu kuwatunza wanyama vizuri?Answer: Kwa sababu wanatusaidia, kama punda anavyobeba maji na mizigo.
- Question 11: Tumia wewe au Nyinyi kujaza nafasi katika sentensi. 1. ___ unaimba.Answer: A. Wewe
- Question 12: ___ mnacheka.Answer: B. Nyinyi
- Question 13: ___ unajibu maswali.Answer: A. Wewe
- Question 14: ___ mnapika chakula.Answer: B. Nyinyi
- Question 15: Tumia silabi katika jedwali kuandika maneno matatu kuhusu shule. Wa | M | ba | Fu | Ti | a Nzi | Za | da | Ra | Ko | sa 5. ___ 6. ___ 7. ___Answer: darasa, mkoba, mti
- Question 16: Andika wingi wa sentensi hizi. 8. Kalamu yangu.Answer: Kalamu zangu.
- Question 17: Kitabu changu.Answer: Vitabu vyangu.
- Question 18: Andika umoja wa sentensi hizi. 10. Matunda haya.Answer: Tunda hili.
- Question 19: Watoto hawa.Answer: Mtoto huyu.
- Question 20: Magari yetu.Answer: Gari letu.
- Question 21: Ambatanisha picha na jina. 13. Picha hii ni ___Answer: B. msichana
- Question 22: Picha hii ni ___Answer: C. kifutio
- Question 23: Picha hii ni ___Answer: A. ubao
- Question 24: Chora maumbo haya. 16. Duara.Answer: Duara imechorwa.
- Question 25: Mraba.Answer: Mraba imechorwa.
- Question 26: Mstatili.Answer: Mstatili imechorwa.
- Question 27: Pembe tatu.Answer: Pembe tatu imechorwa.
- Question 28: Duara dufu.Answer: Duara dufu imechorwa.
- Question 29: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu 'Nyumbani kwetu'.Answer: Nyumbani kwetu ni karibu na shule. Nyumba yetu ina vyumba vitatu. Ninaishi na baba, mama na dada yangu. Tuna…