naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 6

KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.

From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 2) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti

Jina langu ni Maua. Ninasomea shule ya msingi ya Manyata. Niko katika gredi ya pili. Mwalimu wetu anaitwa Bi. Nanjala. Bi. Nanjala anapenda usafi, yeye ana umri wa miaka hamsini. Je, wewe una umri wa miaka mingapi? Yeye huvaa nguo safi, kiti chake cha ofisini ni safi. Bi. Nanjala kila mara hutuhimiza tuwe wasafi, sisi tunafanya bidii kuwa wasafi kama yeye.

KUSOMA KWA SAUTI
Soma kifungu hiki kwa sauti.

Answer

Jina langu ni Maua. Ninasomea shule ya msingi ya Manyata. Niko katika gredi ya pili. Mwalimu wetu anaitwa Bi. Nanjala. Bi. Nanjala anapenda usafi, yeye ana umri wa miaka hamsini. Je, wewe una umri wa miaka mingapi? Yeye huvaa nguo safi, kiti chake cha ofisini ni safi. Bi. Nanjala kila mara hutuhimiza tuwe wasafi, sisi tunafanya bidii kuwa wasafi kama yeye.

Soma kila neno wazi, simama kwenye kitone na usome kwa kasi ya wastani. Tamka vizuri maneno kama Manyata, Nanjala, hutuhimiza na wasafi.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test