CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 11
Tumia wewe au Nyinyi kujaza nafasi katika sentensi. 1. ___ unaimba.
From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 2) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Upatanisho wa Kisarufi
Tumia wewe au Nyinyi kujaza nafasi katika sentensi.
1. ____ unaimba.
- AWewe
- BNyinyi
Answer
A. Wewe
"Unaimba" ni kwa mtu mmoja unayemwambia: Wewe unaimba.