CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 8
___ na ___ hunywa maji.
From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 2) · 2 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kifungu, kisha ujibu maswali.
Je, wajua kuwa punda ni mnyama anayefugwa nyumbani tena ni mtiifu? Punda hutusaidia nyumbani. Baba hutumia punda kubeba maji. Wanyama kama kondoo na mbuzi hunywa maji haya. Punda vilevile hutusaidia kubeba mizigo tunapoenda sokoni. Chakula cha punda ni nyasi. Baba humpa maji pia. Punda akishiba huwa ana furaha, kwani akiwa na hasira humpiga mtu teke. Tujifunze kuwalinda wanyama wote.
2. ____ na ____ hunywa maji.
Answer
Kondoo na mbuzi
Kifungu kinasema: Wanyama kama kondoo na mbuzi hunywa maji haya.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.