CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 9
Ukimkasirisha punda atakufanyia nini?
From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma kifungu, kisha ujibu maswali.
Je, wajua kuwa punda ni mnyama anayefugwa nyumbani tena ni mtiifu? Punda hutusaidia nyumbani. Baba hutumia punda kubeba maji. Wanyama kama kondoo na mbuzi hunywa maji haya. Punda vilevile hutusaidia kubeba mizigo tunapoenda sokoni. Chakula cha punda ni nyasi. Baba humpa maji pia. Punda akishiba huwa ana furaha, kwani akiwa na hasira humpiga mtu teke. Tujifunze kuwalinda wanyama wote.
3. Ukimkasirisha punda atakufanyia nini?
Answer
Atakupiga teke.
Punda akiwa na hasira humpiga mtu teke.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Kwa nini ni muhimu kuwatunza wanyama vizuri?Question 10
- Tumia wewe au Nyinyi kujaza nafasi katika sentensi. 1. ___ unaimba.Question 11
- ___ mnacheka.Question 12
- ___ unajibu maswali.Question 13
- ___ mnapika chakula.Question 14
- Tumia silabi katika jedwali kuandika maneno matatu kuhusu shule. Wa | M | ba | Fu | Ti | a Nzi | Za | da | Ra | Ko |…Question 15