naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 7

Punda hufanya kazi gani?

From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 2) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Soma kifungu, kisha ujibu maswali.

Je, wajua kuwa punda ni mnyama anayefugwa nyumbani tena ni mtiifu? Punda hutusaidia nyumbani. Baba hutumia punda kubeba maji. Wanyama kama kondoo na mbuzi hunywa maji haya. Punda vilevile hutusaidia kubeba mizigo tunapoenda sokoni. Chakula cha punda ni nyasi. Baba humpa maji pia. Punda akishiba huwa ana furaha, kwani akiwa na hasira humpiga mtu teke. Tujifunze kuwalinda wanyama wote.

1. Punda hufanya kazi gani?

Answer

Hubeba maji na mizigo.

Kifungu kinasema baba hutumia punda kubeba maji, na punda hutusaidia kubeba mizigo tunapoenda sokoni.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test