CBC Grade 2 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 2
Mbele ya darasa kuna ___ ambayo mwalimu hutumia kuandika.
From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 2) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusikiliza na Kujibu
Tazama picha, kisha jibu maswali utakayoulizwa na mwalimu. Bonyeza kusikiliza swali, kisha rekodi jibu lako kwa kuongea.

2. Mbele ya darasa kuna ____ ambayo mwalimu hutumia kuandika.
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Ubao.
Mwalimu huandika kwenye ubao ulio mbele ya darasa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Wanafunzi huketi kwenye ___ wakiwa darasani.Question 3
- Ni siku ya Jumatatu asubuhi, unadhani wanafunzi wameenda wapi?Question 4
- Wanafunzi watakaporudi darasani, wataandika kwenye ___ zao.Question 5
- KUSOMA KWA SAUTI Soma kifungu hiki kwa sauti.Question 6
- Punda hufanya kazi gani?Question 7
- ___ na ___ hunywa maji.Question 8