CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2025: End Term 2 Assessment 2025 (Set 12)
Kiswahili — End Term 2 Assessment 2025 (Set 12) · End Term 2 Assessment 2025 (Set 12) · 33 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 33 questions with answers
- Question 1: Sehemu ya A: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Kwa jina unaitwaje?Answer: Ninaitwa Amani.
- Question 2: Je, unapenda mnyama gani?Answer: Ninapenda mbwa.
- Question 3: Taja wanyama wanne wanaotupa vyakula nyumbani.Answer: Ng'ombe, mbuzi, kuku na kondoo.
- Question 4: Kiota ni nyumba ya nani?Answer: Kiota ni nyumba ya ndege.
- Question 5: Taja wanyama wawili wanaotusaidia kubeba mizigo.Answer: Punda na ngamia.
- Question 6: Sehemu ya 2: Kusoma kwa sauti Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.Answer: Ndalo ana umri wa miaka saba. Yuko katika gredi ya pili katika shule iliyo pale kijijini. Ndalo huibuka wa…
- Question 7: Sehemu ya B: Sarufi 1. Tumia herufi kuunda neno. a) G ___Answer: gari
- Question 8: b) D ___Answer: dawa
- Question 9: c) Ch ___Answer: chai
- Question 10: d) dh ___Answer: dhahabu
- Question 11: Jaza pengo kutumia 'yako' au 'yenu'. a) kalamu ___ imevunjikaAnswer: yako
- Question 12: b) nyumba ___ ni kubwaAnswer: yako
- Question 13: c) nguo ___ ni safiAnswer: yako
- Question 14: Tumia 'hili' na 'haya'. a) Embe ___ ni tamu.Answer: A. hili
- Question 15: b) Magari ___ ni mengi.Answer: B. haya
- Question 16: Andika kwa uwingi. a) Ng'ombe huyuAnswer: Ng'ombe hawa
- Question 17: b) Mwalimu wanguAnswer: Walimu wangu
- Question 18: Andika majina. a)Answer: goli
- Question 19: b)Answer: ndege
- Question 20: c)Answer: meli
- Question 21: d)Answer: lori
- Question 22: Shangazi ni nani?Answer: B. dada wa baba
- Question 23: Jaza pengo. a) K __ kaAnswer: kaka
- Question 24: b) B __ buAnswer: babu
- Question 25: Andika kwa usahihi. a) Mimi ni ___ kama twiga.Answer: B. mrefu
- Question 26: b) Mti huu ni ___Answer: B. mkubwa
- Question 27: a) Maarusi ni ___ na ___Answer: Ben na Bea
- Question 28: b) Siku ya harusi ilikuwa gani?Answer: Jumamosi
- Question 29: c) Bi arusi alikuwa amevaa nguo ya rangi gani?Answer: nyeupe
- Question 30: d) Viatu vya bi arusi vilikuwa vya rangi gani?Answer: vyeusi
- Question 31: e) Taja aina moja ya chakula.Answer: wali
- Question 32: f) Maarusi walivalishwa kitu hiki. Hii ni ___Answer: pete
- Question 33: Sehemu ya 5: Kuandika Andika sentensi tano kuhusu mnyama huyu.Answer: Huyu ni sungura. Sungura ana masikio marefu. Sungura hula majani. Sungura anaruka haraka. Ninampenda sungura.