CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 6
Sehemu ya 2: Kusoma kwa sauti Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2025 (Set 12) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Ndalo ana umri wa miaka saba. Yuko katika gredi ya pili katika shule iliyo pale kijijini. Ndalo huibuka wa kwanza darasani. Yeye anasoma na kuandika vizuri. Wenzake wanauliza, "Je, anawezaje kufanya hivi?" Ndalo anawaeleza kwamba ni kwa sababu ana vitabu vingi. Wao wanapopoteza muda wao wakikaa bila kazi, yeye huutumia muda wake kusoma.
Sehemu ya 2: Kusoma kwa sauti
Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.
Answer
Ndalo ana umri wa miaka saba. Yuko katika gredi ya pili katika shule iliyo pale kijijini. Ndalo huibuka wa kwanza darasani. Yeye anasoma na kuandika vizuri. Wenzake wanauliza, "Je, anawezaje kufanya hivi?" Ndalo anawaeleza kwamba ni kwa sababu ana vitabu vingi. Wao wanapopoteza muda wao wakikaa bila kazi, yeye huutumia muda wake kusoma.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.