CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 5
Taja wanyama wawili wanaotusaidia kubeba mizigo.
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusikiliza na Kujibu
Mwalimu atakuuliza maswali. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa Kiswahili. Unaweza kutumia jina la kubuni.
5. Taja wanyama wawili wanaotusaidia kubeba mizigo.
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Punda na ngamia.
Punda, ngamia na farasi hubeba mizigo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Sehemu ya 2: Kusoma kwa sauti Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.Question 6
- Sehemu ya B: Sarufi 1. Tumia herufi kuunda neno. a) G ___Question 7
- Jaza pengo kutumia 'yako' au 'yenu'. a) kalamu ___ imevunjikaQuestion 11
- b) nyumba ___ ni kubwaQuestion 12
- c) nguo ___ ni safiQuestion 13
- Tumia 'hili' na 'haya'. a) Embe ___ ni tamu.Question 14