naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 27

a) Maarusi ni ___ na ___

From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Sehemu ya 3: Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.

Harusi ya Ben na Bea

Ilikuwa Jumamosi na ilikuwa harusi ya kufana sana. Bea, bi arusi, alikuwa amevaa nguo nyeupe na viatu vyeusi. Watu walikuwa wengi mno pamoja na wanamuziki hodari walioutumbuiza umati wa watu kwa kila aina ya muziki. Maarusi walivalishwa pete vidoleni. Kisha tukapewa chakula kitamu kama wali, chapati, nyama na hata keki.

a) Maarusi ni ____ na ____

Answer

Ben na Bea

Kifungu kinasema: Ben na Bea.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test