CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 32
f) Maarusi walivalishwa kitu hiki. Hii ni ___
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Sehemu ya 3: Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Harusi ya Ben na Bea
Ilikuwa Jumamosi na ilikuwa harusi ya kufana sana. Bea, bi arusi, alikuwa amevaa nguo nyeupe na viatu vyeusi. Watu walikuwa wengi mno pamoja na wanamuziki hodari walioutumbuiza umati wa watu kwa kila aina ya muziki. Maarusi walivalishwa pete vidoleni. Kisha tukapewa chakula kitamu kama wali, chapati, nyama na hata keki.

f) Maarusi walivalishwa kitu hiki. Hii ni ____
Answer
pete
Picha inaonyesha pete.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Sehemu ya 5: Kuandika Andika sentensi tano kuhusu mnyama huyu.Question 33
- Sehemu ya A: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Kwa jina unaitwaje?Question 1
- Je, unapenda mnyama gani?Question 2
- Taja wanyama wanne wanaotupa vyakula nyumbani.Question 3
- Kiota ni nyumba ya nani?Question 4
- Taja wanyama wawili wanaotusaidia kubeba mizigo.Question 5