CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 3
Taja wanyama wanne wanaotupa vyakula nyumbani.
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusikiliza na Kujibu
Mwalimu atakuuliza maswali. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa Kiswahili. Unaweza kutumia jina la kubuni.
3. Taja wanyama wanne wanaotupa vyakula nyumbani.
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Ng'ombe, mbuzi, kuku na kondoo.
Ng'ombe hutupa maziwa na nyama; kuku hutupa mayai.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Kiota ni nyumba ya nani?Question 4
- Taja wanyama wawili wanaotusaidia kubeba mizigo.Question 5
- Sehemu ya 2: Kusoma kwa sauti Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.Question 6
- Sehemu ya B: Sarufi 1. Tumia herufi kuunda neno. a) G ___Question 7
- Jaza pengo kutumia 'yako' au 'yenu'. a) kalamu ___ imevunjikaQuestion 11
- b) nyumba ___ ni kubwaQuestion 12