CBC Grade 2 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 29
c) Bi arusi alikuwa amevaa nguo ya rangi gani?
From Kiswahili — End Term 2 Assessment 2025 (Set 12) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Sehemu ya 3: Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Harusi ya Ben na Bea
Ilikuwa Jumamosi na ilikuwa harusi ya kufana sana. Bea, bi arusi, alikuwa amevaa nguo nyeupe na viatu vyeusi. Watu walikuwa wengi mno pamoja na wanamuziki hodari walioutumbuiza umati wa watu kwa kila aina ya muziki. Maarusi walivalishwa pete vidoleni. Kisha tukapewa chakula kitamu kama wali, chapati, nyama na hata keki.
c) Bi arusi alikuwa amevaa nguo ya rangi gani?
Answer
nyeupe
Kifungu kinasema: nyeupe.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- d) Viatu vya bi arusi vilikuwa vya rangi gani?Question 30
- e) Taja aina moja ya chakula.Question 31
- f) Maarusi walivalishwa kitu hiki. Hii ni ___Question 32
- Sehemu ya 5: Kuandika Andika sentensi tano kuhusu mnyama huyu.Question 33
- Sehemu ya A: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Kwa jina unaitwaje?Question 1
- Je, unapenda mnyama gani?Question 2