CBC Grade 2 Kiswahili Exam Term 1 2025: CBC Assessment 2025 (Set 1)
Kiswahili — CBC Assessment 2025 (Set 1) · CBC Assessment 2025 (Set 1) · 33 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 33 questions with answers
- Question 1: SEHEMU 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Watu wote wanapaswa kufanya nini?Answer: Wanapaswa kutunza mazingira.
- Question 2: Tukitunza mazingira tutapata faida gani?Answer: Tutapata hewa safi.
- Question 3: Miti hutupatia mbao na nini?Answer: Matunda.
- Question 4: Nini huzuia mafuriko?Answer: Miti.
- Question 5: Tuache kutupa nini?Answer: Takataka.
- Question 6: ZOEZI 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.Answer: Siku moja Bakari alisafiri kwenda mjini. Aliposhuka kwenye basi, alisimama akitazama huku na huko. Hakujua…
- Question 7: SEHEMU 2: KUSOMA UFAHAMU 6. Kwa nini watu husherehekea sikukuu ya Krismasi?Answer: Ni sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa Yesu.
- Question 8: Watu husafiri kutoka ___ kwenda ___ (a) kutokaAnswer: jijini
- Question 9: (b) kwendaAnswer: vijijini
- Question 10: Watu hujiandaa kwa kufanya nini?Answer: Kusonga nywele na kununua nguo mpya.
- Question 11: Krismasi huwa tarehe ngapi?Answer: Tarehe ishirini na tano mwezi wa Disemba.
- Question 12: Vyakula gani huandaliwa siku hiyo?Answer: Pilau na wali.
- Question 13: SEHEMU 3: SARUFI 1. (a) Miguu ___ ina umuhimu sana.Answer: B. yetu
- Question 14: (b) Hutusaidia kutembea na ___.Answer: C. kukimbia
- Question 15: (c) Viatu ___ miguuni.Answer: D. huvaliwa
- Question 16: (d) Tunafaa kuosha miguu yetu kila ___.Answer: A. siku
- Question 17: (e) Baada ya kuosha tupanguze na ___ mafuta.Answer: E. kuipaka
- Question 18: Andika sentensi hizi kwa umoja. (a) Watoto wanaimba.Answer: Mtoto anaimba.
- Question 19: (b) Mikono inauma.Answer: Mkono unauma.
- Question 20: (c) Viganja vina sabuni.Answer: Kiganja kina sabuni.
- Question 21: Tumia 'huyu' au 'hawa' kujaza mapengo. (a) Rubani ___ anapendeza.Answer: A. huyu
- Question 22: (b) Walimu ___ wanatufunza.Answer: B. hawa
- Question 23: (c) Mwizi ___ amekamatwa.Answer: A. huyu
- Question 24: Andika kwa herufi ndogo au kubwa. (a) NIRAAnswer: nira
- Question 25: (b) FanakaAnswer: FANAKA
- Question 26: (c) GHALIAnswer: ghali
- Question 27: Onyesha silabi katika maneno haya. Mfano: mwalimu = mwa - li - mu (a) MwendoAnswer: mwe - ndo
- Question 28: (b) AnachezaAnswer: a - na - che - za
- Question 29: (c) ZawadiAnswer: za - wa - di
- Question 30: Ambatanisha picha na jina. (a) Picha hii ni ya nini?Answer: B. Samaki
- Question 31: (b) Picha hii ni ya nini?Answer: C. Mswaki
- Question 32: (c) Picha hii ni ya nini?Answer: A. Mihogo
- Question 33: SEHEMU YA 4: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu picha hii.Answer: Hii ni ndege. Ndege inaruka angani. Ndege ina mabawa mawili. Ndege hubeba watu wengi. Ninapenda kusafiri kwa…