naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 6

ZOEZI 2: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.

From Kiswahili — CBC Assessment 2025 (Set 1) · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti

Siku moja Bakari alisafiri kwenda mjini. Aliposhuka kwenye basi, alisimama akitazama huku na huko. Hakujua aelekee wapi kwa kuwa alikuwa mgeni. Ghafla alisikia sauti ikimwita. Alipogeuka alimwona rafiki yake. Bakari alifurahi sana. Akamwambia, afadhali tumekutana naomba unipeleke madukani nikanunue viatu. Walienda kwenye duka na kununua viatu.

ZOEZI 2: KUSOMA KWA SAUTI
Soma hadithi hii kwa sauti.

Answer

Siku moja Bakari alisafiri kwenda mjini. Aliposhuka kwenye basi, alisimama akitazama huku na huko. Hakujua aelekee wapi kwa kuwa alikuwa mgeni. Ghafla alisikia sauti ikimwita. Alipogeuka alimwona rafiki yake. Bakari alifurahi sana. Akamwambia, afadhali tumekutana naomba unipeleke madukani nikanunue viatu. Walienda kwenye duka na kununua viatu.

Soma kila neno wazi, simama kwenye kitone na usome kwa kasi ya wastani.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test