naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 13

SEHEMU 3: SARUFI 1. (a) Miguu ___ ina umuhimu sana.

From Kiswahili — CBC Assessment 2025 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati

Soma kisha ujaze nafasi kwa kutumia maneno uliyopewa.
Maneno: siku, yetu, kukimbia, huvaliwa, kuipaka

Miguu ___(a)___ ina umuhimu sana. Hutusaidia kutembea na ___(b)___. Bila miguu hatuwezi kukimbia. Viatu ___(c)___ miguuni. Tunafaa kuosha miguu yetu kila ___(d)___. Baada ya kuosha tupanguze na ___(e)___ mafuta.

SEHEMU 3: SARUFI
1. (a) Miguu ____ ina umuhimu sana.

  1. Asiku
  2. Byetu
  3. Ckukimbia
  4. Dhuvaliwa
  5. Ekuipaka

Answer

B. yetu

"Miguu yetu": miguu ni yetu sisi sote.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test