CBC Grade 2 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 14
(b) Hutusaidia kutembea na ___.
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Soma kisha ujaze nafasi kwa kutumia maneno uliyopewa.
Maneno: siku, yetu, kukimbia, huvaliwa, kuipaka
Miguu ___(a)___ ina umuhimu sana. Hutusaidia kutembea na ___(b)___. Bila miguu hatuwezi kukimbia. Viatu ___(c)___ miguuni. Tunafaa kuosha miguu yetu kila ___(d)___. Baada ya kuosha tupanguze na ___(e)___ mafuta.
(b) Hutusaidia kutembea na ____.
- Asiku
- Byetu
- Ckukimbia
- Dhuvaliwa
- Ekuipaka
Answer
C. kukimbia
Miguu hutusaidia kutembea na kukimbia.