CBC Grade 2 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 1
SEHEMU 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA 1. Watu wote wanapaswa kufanya nini?
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 (Set 1) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusikiliza kwa Ufahamu
Zoezi 1. Mwalimu atakusomea hadithi kisha akuulize swali. Sikiliza, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa kuongea.
SEHEMU 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA
1. Watu wote wanapaswa kufanya nini?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Wanapaswa kutunza mazingira.
Hadithi inasema: "Watu wote katika familia wanapaswa kutunza mazingira."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.