CBC Grade 2 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 21
Tumia 'huyu' au 'hawa' kujaza mapengo. (a) Rubani ___ anapendeza.
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Matumizi ya Huyu na Hawa
3. Tumia 'huyu' au 'hawa' kujaza mapengo.
(a) Rubani ____ anapendeza.
- Ahuyu
- Bhawa
Answer
A. huyu
Rubani ni mmoja: rubani huyu.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- (b) Walimu ___ wanatufunza.Question 22
- (c) Mwizi ___ amekamatwa.Question 23
- Andika kwa herufi ndogo au kubwa. (a) NIRAQuestion 24
- Onyesha silabi katika maneno haya. Mfano: mwalimu = mwa - li - mu (a) MwendoQuestion 27
- (b) AnachezaQuestion 28
- Ambatanisha picha na jina. (a) Picha hii ni ya nini?Question 30