CBC Grade 1 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025
Kiswahili — Term 2 Opener Exam 2025 (SET 7) · Term 2 Opener Exam 2025 (SET 7) · 31 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 31 questions with answers
- Question 1: Juma ako katika gredi ya ngapi?Answer: Kwanza.
- Question 2: Mwili uko na sehemu ngapi?Answer: Nyingi.
- Question 3: Taja sehemu moja ya mwili ambayo Juma ametaja.Answer: Macho.
- Question 4: Je, miguu inatumika kufanya nini?Answer: Kutembea.
- Question 5: Taja sehemu nyingine ya mwili ambayo Juma hajaitaja.Answer: Kichwa.
- Question 6: Soma hadithi ifuatayo kwa sautiAnswer: Ni vizuri kusugua meno baada ya kula. Kusugua meno ni njia moja ya kuyachunga meno yetu. Tunatumia mswaki…
- Question 7: Kuna aina ngapi za wanyama?Answer: mbili
- Question 8: Andika aina moja ya wanyama wa poriniAnswer: simba
- Question 9: Ng'ombe ni mnyama wa ___Answer: nyumbani
- Question 10: Ni aina ipi ya wanyama ambayo iko na wanyama wakali?Answer: wanyama wa porini
- Question 11: Andika mnyama yeyote wa nyumbani ambaye hana pembe.Answer: kondoo
- Question 12: Pengo 1Answer: B. taulo
- Question 13: Pengo 2Answer: A. rinda
- Question 14: Pengo 3Answer: E. kaptura
- Question 15: Pengo 4Answer: D. kichana
- Question 16: Andika majibu ya salamu hizi Shikamoo -Answer: marahaba
- Question 17: Hujambo -Answer: sijambo
- Question 18: Habari yako -Answer: nzuri
- Question 19: Ambatanisha picha hizi na majina yake. a)Answer: C. Kitanda
- Question 20: b)Answer: A. Gari
- Question 21: c)Answer: B. Nyumba
- Question 22: Andika wingi wa maneno haya Mtu -Answer: watu
- Question 23: Jino -Answer: meno
- Question 24: Kiti -Answer: viti
- Question 25: Unganisha silabi hizi ili kuunda neno. Pi + kaAnswer: pika
- Question 26: Ke + tiAnswer: keti
- Question 27: Chu + paAnswer: chupa
- Question 28: Andika maneno mawili yenye sauti /pa/Answer: paka, papai
- Question 29: Tumia 'huyu' au 'hawa' kujaza pengo Mtoto ___ ni wetu.Answer: A. huyu
- Question 30: Walimu ___ ni wazuri.Answer: B. hawa
- Question 31: Tazama picha kisha uandike sentensi tano kuhusu ndege huyu.Answer: Huyu ni kuku. Kuku ana manyoya. Kuku hutaga mayai. Kuku hula mahindi. Ninampenda kuku.