CBC Grade 1 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 14
Pengo 3
From Kiswahili — Term 2 Opener Exam 2025 (SET 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
1. Tumia 'rinda', 'taulo', 'viatu', 'kichana' na 'kaptura' kujaza pengo.
Tamara ameenda kuoga. Atajipanguza maji kwa __1__ kisha atavaa __2__. Asivae __3__ kwa sababu ni ya wavulana. Atachana nywele yake kwa __4__. Kisha atavaa viatu miguuni.
Pengo 3
- Arinda
- Btaulo
- Cviatu
- Dkichana
- Ekaptura
Answer
E. kaptura
Kaptura ni ya wavulana.