naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 6

Soma hadithi ifuatayo kwa sauti

From Kiswahili — Term 2 Opener Exam 2025 (SET 7) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufasaha

Ni vizuri kusugua meno baada ya kula. Kusugua meno ni njia moja ya kuyachunga meno yetu. Tunatumia mswaki kusugua meno. Kama hatuna mswaki, mtu anaweza kutafuna kijiti kidogo atumie. Pia, dawa ya meno hutumika. Kama dawa ya meno haiko tunatumia chumvi. Ni vyema kuhakikisha kuwa meno yetu ni safi. Hii itatusaidia kuepukana na magonjwa ya meno.

Soma hadithi ifuatayo kwa sauti

Answer

Ni vizuri kusugua meno baada ya kula. Kusugua meno ni njia moja ya kuyachunga meno yetu. Tunatumia mswaki kusugua meno. Kama hatuna mswaki, mtu anaweza kutafuna kijiti kidogo atumie. Pia, dawa ya meno hutumika. Kama dawa ya meno haiko tunatumia chumvi. Ni vyema kuhakikisha kuwa meno yetu ni safi. Hii itatusaidia kuepukana na magonjwa ya meno.

Soma kila neno wazi na usimame kidogo kwenye kila kitone.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test