CBC Grade 1 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 10
Ni aina ipi ya wanyama ambayo iko na wanyama wakali?
From Kiswahili — Term 2 Opener Exam 2025 (SET 7) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma ufahamu kisha ujibu maswali.
Wanyama ni wazuri. Kuna aina mbili za wanyama. Kuna wanyama wa nyumbani na wanyama wa porini. Wanyama wa nyumbani ni kama vile mbuzi, ng'ombe na kondoo. Wanyama wa porini ni kama vile ndovu, twiga na simba. Wanyama wa nyumbani ni wapole. Wanyama wa porini ni wakali.
4. Ni aina ipi ya wanyama ambayo iko na wanyama wakali?
Answer
wanyama wa porini
"Wanyama wa porini ni wakali."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.